Wataalamu naombeni msaada wenu, Kompyuta yangu inagoma kufanya kazi baadhi ya keypad

escrow

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
358
500
Computer yangu imeanza kutofanya kazi kwa baadhi ya keypad! Ikitokea sijaitumia siku mbili nakuta zinaendelea kuongezeka!

Ni laptop ya ya Dell latitude E 5440.
Je tatizo nini hapo? Nifanyeje ili niweze kuiweka Sawa?

Natanguliza shukrani za dhati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,024
2,000
escrow,
inaonekana iliingia kimiminika (maji,chai au soda) kariakoo unapata mpya ibadilishe tu hiyo kwani aitofaa tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom