Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,615
- 2,031
Mambo vipi wana jamvi, nna redio yangu LG xboom mini Hifi ina spika mbili sasa nilikuwa nna wazo la kutafuta spika zingine za JBL ili niunganishie kwenye hii redio nisiwe natumia hizi za Lg jee inawezekana?
Kiuhalisia Redio ipo vizuri inatema sound yakutosha tu naenjo haya mengine nnayoyahitaji ni manjonjo tu.
Mwenye ushauri napokea.
Nb: uwezo wa speker za Lg ni 3 nini sijuwi
Kiuhalisia Redio ipo vizuri inatema sound yakutosha tu naenjo haya mengine nnayoyahitaji ni manjonjo tu.
Mwenye ushauri napokea.
Nb: uwezo wa speker za Lg ni 3 nini sijuwi