Wataalamu, mwaionaje website hii?

Si kweli kwamba haivutii sema tu hizo rangi hazikupendezi, mbona ni bomba? usimkatishe tamaa

haivutii kwangu sijasema kwako. kila mtu anamtazamo wake. unachokipenda ww sio lazima nikipende and vaisi versa. sijamkatisha tamaa ameomba maoni hayo ni yangu na ww sema yako sio unikosoe mimi
 
Mkuu, awali nilipendelea kuweka blue background kuonesha namna bahari ilivyo karibu na hotel hiyo. Nimeondoa kabisa blue, nimeepuka white, green na red. Siwezi kuongeza size ya image hizi kwakuwa zita-loose quality, ni lazima nipige zingine zenye ukubwa mzuri kama unavyoshauri mkuu.

Kuhusu upana wa footer kulingana na content, sioni kanuni ya kufanya hivyo, kuna tatizo gani kama footer width iki-differ na content width, otherwise nifundishe tafadhari.

Rangi ya input kwenye booking form sasa ni nyeusi tii kama ubao wa shule ya msingi halafu pen inayotumika ni chaki nyeupe, kama bado inumiza nielekeze nitumie colour ipi.

Pia nielekezwe shida ya hizo curved corners za footer.

Shukrani.

Ok.nashukuru naona width ya footer inalingana na ya body na ya banner.Uliuliza kuna tatizo gani footer ikiwa na width tofauti?Website inatengenezwa na sehemu muhimu tatu 1.Banner 2.Body 3.Footer hizi zote zinatakiwa kuwa na upana sawa ila urefu unaweza tofautiana.jaribu kuangalia website tofauti tofauti na uone wanafanyaje kama footer inakuwa fupi au ndefu zaidi sijui inakuwaje si unajua kila mtu anajua alikojifunzia.
Kuhusu curved corner za footer nilikwambia utoe za juu,sababu ni kama rangi ya footer itatofautiana sana na ya body contents vitaonekana kama ni vitu viwili tofauti ila vimefuatana.Ukitoa curved corner za juu na kuacha za chini itaonekana kama ni body moja,rectangle kutoka juu ila chini ina curved corner.

Kuhusu background ya input field kuwa black,unaitetea kwa kulinganisha na ubao wa primary zetu za st.government.Ila naamini unajua sikuhizi kuna white board so be flexible.Maranyingi kwenye website hawashauri background iwe black kama kutakuwa na text juu ya eneo hilo,why?Do your home work,visit website zenye input field angalia kama wanatumia background color nyeusi then make your decision.
Njia nzuri ya kuchagua rangi za website,unaangalia biashara ya mteja inahusika na nini,kama ni farming,forest weka aina zote za kijani pamoja na rangi zingine zitakazofaa.Otherwise unaangalia logo yake au kitu kinachoitambulisha kampuni au hotel in your case kina rangi zipi,then unazitumia rangi hizo pamoja na nyingine zitakazofaa.
Javascript ina effect tunaita "onblur" na "onfocus" sijajua word press ikoje,check na do the right thing.
Web iko poa ila dont forget to "polish your work" that is waht we are trying to assist you dont forget free of charge.Just kidding.
Huu ni ushauri tu,feel free kuachana nao ukiona hauna msaada,ila naamini unamwonyesha mteja wako na unafanya anavyotaka remember "the customer is always right".Hata JF wasipoipenda ila kama client ameridhika it is fine.Thanks
 
Wakuu,
Nashukuruni nyote na Mungu awabariki. Nimejifunza mengi. Naomba tu kwa sasa tuachane na mada hii, kama kuna mengine mazuri ya kunishauri mnaweza kuni-PM.
 
Back
Top Bottom