Je, kuna uhusiano gani kati ya mtu mwenye busha na kujambisha

Isumbwile

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
801
359
Habari zenu wadau,

For sometym nimekuwa naona watu wakijua mtu anabusha basi akikatiza mitaa ile wataanza kummock dat person in different ways including kujambisha (hopefully tunajua when i say dat)..

Sikuwahi kutake serious hadi leo nilipokuwa mitaa ya Mwenge stendi pale, kuna jamaa kumbe alikuwa anabusha na wale makonda na wapiga debe waligundua hilo, so wat was sad ni kwamba jamaa was about to board the bus ndo washikaji wakajambisha and the guy akaanguka and im not very sure bt i think alivunjika mkono.

So my question to JF doctors and other great thinkers, je kuna uhusiano gani kati ya mtu mwenye busha na kujambisha?
 
i know ur not sure,dat the problem,wats the biology behind the vibration,kwanini a-vibrate?
 
Mi binafsi sina jibu halisia kibaolojia , but nahisi ni mentality tu, cause sioni uhusiano wowote kuhusu sauti za watu zinazoingia masikio na kuwa transalated na ubungo then busha li vibrate so nahisi ni mentality tu, mfano leo tukisema mtu mwenye nywele nyingi ukimpigia hayo makelele then kichwa kiwashwe possibily hiyo mentality ikiwa develop kwa mda mrefu kuna possibility hata wewe ukiwa na nywele nyingi mtu ukipigiwa makelel utawashwa, ni mtazamo ebu wenye majibu ya kisayansi waweke view zao pia
 
It might be true!!!,jf doctors we need ur views......:confused2:
 
Kwa faida yangu na wanaJF wenzangu, natamani kufahamu kisayansi uhusiano uliopo kati ya busha na msisimko unaoambatana na tabia ya kujambisha?

Watu wengi wa mikoa Ya Pwani wameshuhudia hili ninalolisema, kuna baadhi ya watu hususani wazee wakijambishwa huishiwa nguvu, ama hufanya mambo kinyume na hiari yao. Wengi wa watu hao huwa wanakabiliwa na tatizo la kende kujaa maji

Naamini madaktari na Wataalamu mliomo humu mtatusaidia kulifahamu hili tatizo
 
Duuuh!! Mkuu hata mimi pia huwa naona wenye mabusha wakijambishwa wanaruka au kuanguka chini lakini sijui nini kinapelekea hivyo.
 
Nadhani mitaani kwenu mnayaona naomba kujuzwa je tatizo hili ni ugonjwa au ni shida ya aina gani? Wenye utaalamu na madakitari mtujuze, wapo baadhi yao mara wanapojambishwa huruka kiasi ambacho huweza hata kujisababishia ajali endapo kama atakuwa anaendesha baiskeli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom