Wataalamu mtusaidie; uhusiano baina ya busha na kujambisha

Paw

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
2,113
2,000
Kwa faida yangu na wanaJF wenzangu, natamani kufahamu kisayansi uhusiano uliopo kati ya busha na msisimko unaoambatana na tabia ya kujambisha?

Watu wengi wa mikoa Ya Pwani wameshuhudia hili ninalolisema, kuna baadhi ya watu hususani wazee wakijambishwa huishiwa nguvu, ama hufanya mambo kinyume na hiari yao. Wengi wa watu hao huwa wanakabiliwa na tatizo la kende kujaa maji

Naamini madaktari na Wataalamu mliomo humu mtatusaidia kulifahamu hili tatizo
 
dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,520

Content manager na staff member nipo na mimi nasubria majibu hapa.
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,113
2,000
hahahahaaa unanikumbusha tu joti amesha wahi kuchanganya unga na mchele baada ya kujambishwa
 
Petronfrancis

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
323
250
Kwa faida yangu na wanaJF wenzangu, natamani kufahamu kisayansi uhusiano uliopo kati ya busha na msisimko unaoambatana na tabia ya kujambisha?

Watu wengi wa mikoa Ya Pwani wameshuhudia hili ninalolisema, kuna baadhi ya watu hususani wazee wakijambishwa huishiwa nguvu, ama hufanya mambo kinyume na hiari yao. Wengi wa watu hao huwa wanakabiliwa na tatizo la kende kujaa maji

Naamini madaktari na Wataalamu mliomo humu mtatusaidia kulifahamu hili tatizo
Duuuh!! Mkuu hata mimi pia huwa naona wenye mabusha wakijambishwa wanaruka au kuanguka chini lakini sijui nini kinapelekea hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Top Bottom