Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa chanjo, haizui mtu kupata vitus, bali akipata hasipate madhara makubwa.Watu wasiochanja ndiyo wanasababisha virusi hatari wazaliwe. Kuchanjwa kunapaswa kuwa lazima.
Kama ulichanja ndui huna chanjo yeyote ya asili..watz,warundi waganda tuna tofautu gani?Watz tunayo chanyo ya asili ilijitengeneza yenyewe tatizo ni kwenu mnaochanja hadi kinga za mwili zinapungua kwani ukusikia madhara ya chanjo za kovidi na HIV
Tofauti yetu ni njia tuliyo tumia kukabili kovidi sisi tuliacha miili ijichakatue yenyewe kujijenga konga na gonjwa la kovidi wao walijificha hata ndui ina chanjo ya asili pia ukipata usife inakuwa imejitengeneza tayari pia hii chanjo ya korona siyo ya kweli kiufanisi ni mbwembwe tuKama ulichanja ndui huna chanjo yeyote ya asili..watz,warundi waganda tuna tofautu gani?