WanaJF.Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu kuhusu ugonjwa wa ukimwi na tiba yake kwamba mpaka sasa bado hauna tiba bila kupata majibu ya kitaalamu kwamba kwanini ugonjwa huu hauna tiba na sasa ni zaidi ya miaka 25 kwa Tz? Maana cna majibu ya kitaalanu ya kwann ugonjwa huu unakosa tiba? Je ugonjwa gani mwingine ambao udumu kwa muda mrefu bila tiba na baadae kupatiwa tiba yake? Je kuna matumaini yatiba katika huu ugonjwa? Tetes ulaya tic yake ipo je ni kweli? Wadau tupeni elimu kwa cc ambao co watalamu wa magonjwa.