Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,316
- 8,227
Sasa watu kama hao wanajiajiri vipiTuwataarif tu vijana wameshauriwa wajiajiri... na hao hao waliotupa elimu za kuajiriwa
Sasa watu kama hao wanajiajiri vipiTuwataarif tu vijana wameshauriwa wajiajiri... na hao hao waliotupa elimu za kuajiriwa
Yupo Ontario(Sirjeff) amesha tusua, alisoma kada hiyo lakini amejiwezesha mwenyewe tuu na hajaitumia hiyo elimu hata chembeee..Sasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja
Waka jiajrikuuza mitungi ya gesi kama taifa gas, o gas na lake gas au wakalime mapori yapo mengi mnoSasa watu kama hao wanajiajiri vipi
Ccm HoyeeSasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja