Wataalam wetu sheria zinasemaje kuhusiana na kuwa na simu gerezani


M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,630
Likes
646
Points
280
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,630 646 280
Haar za jioni wakuu na poleni na majuku ya wiki nzima. Kuna zimevuma sana mwishoni mwa wiki hii kua ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ambaye anatumikia kifungo cha miaka miwili jela, ameingia matatani tena akidaiwa kukutwa na simu gerezani aliyoitumia kuwasiliana na Rais Jakaya Kikwete(Mwananchi, 2 september 2011). Hili suala limeripotiwa kama vile kafanya kosa kubwa sana, Naomba wataalam wa sheria mniweke wazi pamoja na wenzangu ambao hawajui. Hivi kosa km hili hukum yake ni nn maana kabla watu walikua wanaingia na simu gerezani zilizuiwa baada ya baadhi ya wafungwa kuongea na bbc wakiwa gerezani. Sijui km kuna sheria inayozuia hiki kitu. Naomba ufafanuzi km huyu mtu ana hatia na anweza kuchuliwa hatua gani. Naomba kuwasilisha.
 

Forum statistics

Threads 1,237,560
Members 475,562
Posts 29,293,587