huyu jamaa anatumia uc browser inabidi ufanye kuingia Google alafu download gbwhatsapp downloder kisha ynyw itakupeka mpaka unapotakiwa kufikaNaomba msaada wa ku update GBwhatsapp nashindwa maan mda wote inaniletea Mesej upgrade Lakin nikibonyeza kuruhusu ku apgrade nashindwa naambiwa ni download kwa kutumie cloud download Niki click haionesh wap inadownload
ubarikiwe kaka mana nilikua nabonyeza download ya mwanzo ilipokua inanipeleka inajua mwnywe》Bonyeza update now..
Itakupeleka kwene hii link
برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 5.15 – GBMods
》Shusha chini hadi kwene neno download. Kuwa makini. Mengine ni matangazo
(Yenyewe ni nyeusi)
》Ukibonyeza itakupeleka hapa
》Bonyeza download imepigwa mstari.
》Link itakupeleka mediafire. Bonyeza download ya kijani
》Uninstall ile ilokuwepo weka hiyo.
》Cheers.