Watu watakavyoikimbia comment namba 7 sasa
Naona watu mmegoma kuweka comment ya 7.
Mimi naweka, ila mimi nakesha chitchat!!
Hivi mkuu hujafanikiwaga tu.. Maana ni muda sasa!??Hongera sana joanah maana neema imekushukia, umebarikiwa kuliko wanawake wote JF.
Nadhani ni wakati wa kuweka sawa mipango yetu.
Ni wewe au nisubiri mwingine?
Njoo PM sasa malkia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aamke, atusimulie ndoto ya leo.Hivi mkuu hujafanikiwaga tu.. Maana ni muda sasa!??
Mimi nimeanza novena ya kuliangamiza pepo la ngono...Niko huku Duga Maforoni kwa mzee wa busara ili nikomeshe hii tabia
Kaone kwanza jamani
Watu watakavyoikimbia comment namba 7 sasa
Kumbe ana anabadilibadili mbinueee, mpenzi zitakazofua damu basi wakuuHivi mkuu hujafanikiwaga tu.. Maana ni muda sasa!??
Eti shemela ๐๐๐๐
Nasubiri kujua roho imenena nini usiku wa janaIfikapo saa 5 usiku huu bila joanah kuja PM basi kutakuwa na makosa ya kiufundi...itabidi nilale nione nini roho atanena nami.
Usiku mwema nyote.
Sent using Jamii Forums mobile app