ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,096
- 2,273
Unaposema DW ni drag n drop unakosea sana. Hata wordpress yenyewe drag n drop ipo kwenye menus na some image objects peke yake.ymollel hata kwenye wordpress kuna drag and drop builders na unaweza uka customize codes. Nishatumia front page, dreamwever, wix na izo page builders za provided by webhosts coys, zote ni drag and drop.
Hujatumia dreamweaver wewe, hayo unayosema yote unayafanya na tena unaweza ku edit codes ukitaka.
DW ni professional editor na ukiita drag n drop basi unaishusha sana.
Tofautisha kati ya INSERT na Drag/Drop. Kwenye dw unaweza kuInsert baadhi ya vitu kama vile table, image, buttons lakini sio dragging.
Mfano mwingine mzuri wa program ambayo ni drag n drop ni VB6 na VB editor zingingine.
Kama dw ni drag n drop basi application zote duniani ni drag n drop kuanzia Excel, photoshop, fireworks kwasababu kote huko kuna kuInsert objects.