Wana JF wenzangu mimi niko mwaka wa tatu chuoni UDSM ninasoma BSc.Ed.Sasa kuna course moja ya Physics yenye cod PH 346(Kwa waliosoma UDSM watakuwa wanaifahamu) ila nadhani hata vyuo vingine wanaisoma ila huenda ina cod tofauti.
Sasa kuna hili swala la Kuandika Research project report na Research yenyewe kwa ujumla ni vitu ambavyo hata sivijui, so naombeni msaada maana hawa Malecturer wa UDSM ni pasua kichwa kazi kutishiana kudisco tu basi na hata hawatuelekezi eti kazi kwetu.
Naomba msaada wa vitu vifuatavyo :
(1)Jinsi ya kuchagua research problem
(2)Jinsi ya kuandika research proporsal
(3)Vitu gani vya kuzingatia wakati wa kufanya hiyo research
(4)References
(5)Je,ni lazima utengeneze na kitu ulichokifanyia research?
(6)Umuhimu wake ukoje kwa wale watakao endelea na masters?
Karibuni sana tujuzane kwa wale wote wanaojua na wasio jua.