Wataalam wa kilimo msaada wenu tafadhali

mokoloko

Member
Mar 15, 2016
75
68
Hizi pilipili mbuzi zinatatizo gani? Kwani kila nikienda kwenye maduka ya kilimo naambulia kununua madawa tu lakini mmea hauna dalili yeyote ile ya kupona dawa nilizo tumia ni super vory, ridomil gold kwa vipindi tofauti so titizo ni nn? Na ninawezaje kuliondoa, shukrani
IMG_20190115_135119.jpeg
IMG_20190115_135209.jpeg
IMG_20190115_135201.jpeg
IMG_20190115_135129.jpeg
IMG_20190115_135123.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom