Asante kwa majibu ya haraka. Ni samsung galaxy grand prime plus. Nategemea kupata Samsung nyingine ya toleo la mbele kidogo. Je itabidi nibadili tena hiyo cable au zinaingiliana?
Hii simu nayotumia sasa haina port ya hdmi. Ina ya kuchajia tu.
Hizo cable alizokuonesha Chief Mkwawa #9
ndio zenyewe zita fit kwenye simu ila picha hutaona kwenye TV. Kwa Samsung mpaka S6 hata hizi J1 J3 hazitoi picha.
Yaaani nilichomaanisha cable za HDMI unapochomeka upande mmoja device iwe imezimwa. Itafanya kazi hata kama hufuati huu utaratibu, ila huwa zinakata signal