Zx5
Member
- Oct 6, 2018
- 6
- 1
Nlinunua hosting kwenye kampuni moja na nililipia kwa njia ya card visa card, walinitumia invoice kuwa order ime be verified lakini nina muda karibu wiki mbili sasa kila nikiingia kwenye website yao wananiambia sina package yeyote, ila kuna sehem nikifungua nakuta ile order bado ipo pending apo nimeliwa o niendelee kusubr?