msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Naomba Kufahamu Components of GIS software, Kwa undani. Mwenye maujuzi katk hili please
Mi mtaalam wa ILWIS ulizaNaomba Kufahamu Components of GIS software, Kwa undani. Mwenye maujuzi katk hili please
Mkuu hii ni moja ya software zinazotumika katika ukusanyaji data za kijiolojia katika eneo fulani.Naomba kujua hiyo GIS nini na ukiisomea nini manufaa yake?
Asante.Mkuu hii ni moja ya software zinazotumika katika ukusanyaji data za kijiolojia katika eneo fulani.
Ukisoma mambo ya GEOLOGY utafahamu mengi kuhusu hizo software na nyinginezo nyingi.
Ipo qgis pia ambayo ni open source softwareMkuu hii ni moja ya software zinazotumika katika ukusanyaji data za kijiolojia katika eneo fulani.
Ukisoma mambo ya GEOLOGY utafahamu mengi kuhusu hizo software na nyinginezo nyingi.
sijaipata vizuri hapo kwenye bold nyekundu {?}Ipo qgis pia ambayo ni open source software
Hiyo ni software ya gis ambayo ni free unaweza download na kuitumia bila kulipia licensesijaipata vizuri hapo kwenye bold nyekundu {?}