Chrispino Henry
Senior Member
- Mar 29, 2017
- 107
- 66
Naam naam kwanza kabisa nawashukuru wote kwa mawazo yenu chanya nnayotarajia kutoka kwenu....I appreciate
Moja kwa moja nimekua nikipambana kwa namna ya kujikwamua kutoka kwenye hili wimbi la umaskini.
Nimejikusanya nimepata 2M.
Nawaza nitafute watu watatu wenye mtaji sawa na mimi ziwe 2*3=6M then tufanye kilimo kwa 5M na 1M tuiweke bank kama backup ila project nzima tutaiandaa kwa Bajet ya 5M... Kwa kifupi tutainvest 6M ila 5M ndio itakua budget ya project yetu.
Binafsi nimewaza kilimo sjui wengine mnaona kitu gani kingefaa zaid kwa huo mtaji wa 5M.
Kama ni biashara tufanye biashara gani?
Kama ni kilimo unashauri tulime nini?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwaza nasoma bachelor in marketing mwaka wa kwanza.
Nataka nione nguvu yenu ya ushauri wakubwa zangu.
Nipo dar es Salaam. Zingatia kila sentensi kipindi unanipa ushauri ni namaana kubwa zaidi ya hii kuweka huu utambulisho wa elimu na mahali nilipo.
Nataka mawazo chanya tuu. Please think positive