Wataalam wa Benki na Mikopo naombeni msaada kwa hili

Wale wataalamu wa kukopa na wenye ujuzi wa Bank na Mikopo, habari zenu?

Hivi nikikopa Benki na kila baada ya muda natop up!! Nitakuwa nafaidika au Benki itaninyonya zaidi Mimi?

Je, nikikopa mkopo wa miaka mitano na kusubiri hadi mkopo wote uishe ndiyo nikope nitakuwa na hasara?

Natanguliza shukurani zangu kwenu nyote mtakaotoa ushauri na maoni jenzi?

1: i)Katika mkopo let’s say umekopa mkopo wa miaka mitano kiasi cha Tsh 20,000,000 tuchukulie total repayments ni Tsh 24,200,000 kwa miaka mitano huwa kuna njia ambayo inatumika kulingana na bank na bank..bank nyingi za wanyonyaji zinatumia reducing formula..hapa baba riba inakua kubwa mwanzoni ila kadri unavyolipa deni lako riba inazidi kupungua..unachukua mkopo alaf unaanza kutaabika kulipa pesa nyingi kipindi hata mzigo kutoka china bado haujafika..hivyo ata ukitop up unakua umekula hasara hivyo kama biashara yako inaleta faida kwa kipindi cha mwishoni au katikati ..unaweza ukatop up ule hasara tena..sbb unakuumiza mapema ukichukua tu mkopo ila kadri unavyoendelea wanakua wamekunyonya unapata unafuu na pesa yako ya repayment inapungua mdogo mdogo..hapo ni juu yako sbb hata ukitop up itabidi ucheze na biashara yako inakupaje faida ila kama unaona trend ya biashara sio nzuri hamna haja ya kutop up utakuja kufilisiwa ukiyumba mwanzoni..

Ila bank inayotumia amortized loan formula apo repayment yako inakua kama ni 333,000 kwa mwezi basi from month 1 to month 60 utalipa repayment hiyo hiyo 333,000 monthly haibadiliki...hii kama unatrend nzuri ya biashara na kama umepata pesa ya chap bora uuzike mapema ufanye yako..hii ndo nzuri sbb mara nyingi riba huwaga nafuu na marejesho huwaga yanalipika kiurahisi huumii sana..

Ila yote ni migumu hamna mkopo unaofaidika brother..yote inakunyonya tu..inshu ni trend ya biashara yako na kujisimamia kwenye matumizi..kama ni muajiliwa huko ukipata mkopo bora ufanye vitu vya msingi kabla haujaanza kukutafuta maini..

Amnaga mkopo mzuri..imenitesa sana nashkuru nimemaliza saivi napumua...ingawa ukizoea huachi..lipa mkopo fanya yako..bora uokote tsh 10 10 za jasho lako la kila siku kuliko kupata 100 100 za kuwafanyia bank ambazo unajua kabisa 80 kati ya mia ni za watu..
 
Uko sawa
 
Wewe kopa ,subili mkopo uishe ili uweze kukopa mkopo mwingine wa maana ili ufanye kitu cha maana.
 
Wale wataalamu wa kukopa na wenye ujuzi wa Bank na Mikopo, habari zenu?

Hivi nikikopa Benki na kila baada ya muda natop up!! Nitakuwa nafaidika au Benki itaninyonya zaidi Mimi?

Je, nikikopa mkopo wa miaka mitano na kusubiri hadi mkopo wote uishe ndiyo nikope nitakuwa na hasara?

Natanguliza shukurani zangu kwenu nyote mtakaotoa ushauri na maoni jenzi?
Kuna uzi uliletwa humu unaelezea jinsi mabenki yanavyo piga watu..

Soma huo uzi na upitie kila comment kabla hujakimbilia ku top up..
 
Back
Top Bottom