Wataalam wa Afya

Ulishawahi kuhudumiwa na mtaalam yupi kati ya hawa?

  • Nutritionist (Afisa Lishe)

  • Herbalist (Tiba Asilia)


Results are only viewable after voting.

nyahinga

Member
Dec 18, 2016
45
23
Nauliza utofauti wa wataalam wafuatao:

Nutritionists
Dietitians
Herbalists

Je kwa hapa Tanzania, hawa wataalam wanatoka wapi!?

Je jamii na serikali inanufaika na wataalam wapi kati ya hao watatu.

Je, vipi kuhusu ajira za wataalam hao?
 
Back
Top Bottom