Wataalam wa afya

Star uncle

New Member
Dec 23, 2016
4
2
naomba kuuliza hivi mtoto anatakiwa ajisaidie haja kubwa kwa muda gani baada ya kuzaliwa?? maana kunamtoto kazaliwa na bado hajanyonya wala kula chochote lakini kapata choo tena mara mbili ndani ya masaa sita toka azaliwe
 
Kawaida. Lazima mama amnyonyeshe asije akapata jaundice.
 
naomba kuuliza hivi mtoto anatakiwa ajisaidie haja kubwa kwa muda gani baada ya kuzaliwa?? maana kunamtoto kazaliwa na bado hajanyonya wala kula chochote lakini kapata choo tena mara mbili ndani ya masaa sita toka azaliwe
Mtoto hutakiwa kutoa kinyesi mala tu azaliwapo,hiyo kwanza n ishara ya uzima au alama ya kumuonyesha kuwa n mzma wa afya,"apgar score",kinyesi kipo na tangu tumbon huwa anajisaidia na kinyesi kile huchanganyika kwenye majimaji aliyomo then kuna namna hufanyika Maji Yale yanatakasika automatic,hivyo usishangae n kawaida
 
asante ndugu
 
Back
Top Bottom