Star uncle
New Member
- Dec 23, 2016
- 4
- 2
Naomba kuuliza hivi mtoto anatakiwa ajisaidie haja kubwa kwa muda gani baada ya kuzaliwa? maana kunamtoto kazaliwa na bado hajanyonya wala kula chochote lakini kapata choo tena mara mbili ndani ya masaa sita toka azaliwe.