Wataalam wa afya mhh!

Foreverfreed

Member
Aug 20, 2019
65
108
Habari zenu wadau humu. Nina rafiki yangu ambaye alinifuata akiwa na masikitiko kwa yaliyomtokea baada ya kucheza rafu katika mambo Yale ya burudani ya watu wawili wa jinsia tofauti.Baada ya rafu hizo kaenda hospitali kupima Kama yupo salama au la. Alionana na daktari na kumweleza Nia ya kupima afya.Daktari kamkubalia na kuagiza achukuliwe damu,akaambiwa ardi baada ya mda.kama mnavyofahamu kuchukualiwa damu na kupimwa siyo Jambo gumu ila kupewa majibu ndo inahitaji kutambua kuwa ndiyo lililo gumu.Anasema kuwa alipoingia kwenda kupokea majibu ghafla kaambiwa kuwa Kinga ya mwili iko chini, na anatakiwa ale vyakula vitakavyoongeza Kinga kupanda.Jamaa kusikia hivyo kapanic mapigo ya moyo yakaenda mbio kuwa labda ameshaupata!sasa swali je Ni sahihi wasio na vipaji au utaalamu wa ushauri kupima vipimo vinavyoweza kufanya mtu kurukwa na akili/changanyikiwa?
 
Back
Top Bottom