Wataalam, Vibua (Samaki) wana magamba?

KISHINDO

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
2,111
1,798
Kwa wale wataalam wa samaki wa baharini, naombeni msaada wa kujua kama samaki aina ya vibua wana magamba au kama hawana.

Ahsanteni.
 
Ana magamba yanayolika. Hahaaaa, hapa mtaani kwangu utasikia 'kibua mneneeeee'
 
Magamba anayo ila ni madogo sana ukilinganisha na ya changu, kolekole,pono, kala mamba n.k. Samaki wasiokuwa na magamba kabisa ni jodari, ngulu, tasi, ndoalo, n.k
 
Back
Top Bottom