Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,904
Alikuwa na uwezo wa kumjengea nyumba ya block
Halafu sipendi hili swali " Hivi tunakosea wapi?"
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hii hapa chini ni moja kati ya sehemu ya hoyel kubwa tu na ina umeme sasa sijui tatizo ni nn hapo. View attachment 1057938
Wanajibu kisiasa....Swala ni hoja za kitaalamu, sikatai kuwekwa umeme..
Naamini kuna vigezo vitumikavyo kuweka umeme..
Ndio mmaana nikaomba wataalam,nataka kujifunza
Sent by anonymous user
Hii hapa chini ni moja kati ya sehemu ya hotel kubwa tu na ina umeme sasa sijui tatizo ni nn hapo. View attachment 1057938
Naomba hoja zitumike kujibu swali la msingi.
Karibuni. View attachment 1057934
Sent by anonymous user
Wanajibu kisiasa....
Lakini tukija kitaalamu haikuwa sahihi.
Lifetime ya hiyo nyumba ni ndogo sana hapo tutasikia majanga ya umeme tuu huko
Inategemea vimekutana wapi... Huku kijijini kwetu vinapataka vizuri tuu yani huwezi kuaminiUkiona nyumba imeezekwa kwa "kuhomakela" ni ushahidi wakati wa mvua ni mtindo wa kuhamisha vitanda.
Kwa elimu yangu ya darasa la 7, niliambiwa maji na umeme hayapatani..
Tumerithishwa usiasa usiasa, hata mtoto mdogo sikuizi wamejaa siasa,, sijuui hii ni tabia ya ki genetic
Sent by anonymous user
Na wewe unaweza kutuambia kitaalamu kwanini hii nyumba haipaswi kuwekewa umeme ?
Ndio maana tumeambiwa tujadili kitaalam. Ukiangalia uimara na aina ya kuta za hiyo hoteli na ile nyumba havifanani kabisa, nyumba ukuta wake ni mbavu za mbwa (fito zilizofunikwa kwa tope) ukita ni mwembamba sana na mvua huendelea kumomonyoa udongo hadi ukuta kubaki wa fito tupu.
Ukuta wa hoteli ni wa matofali ya udongo lakini ni mnene na uko imara. Paa ni la nyasi lakini ndani umeona walivyotengeneza? Hiyo vyumba ya makazi haina dari.
Kwa hayo maelezo machache, miundo mbinu kama waya, swichi, plag na vishikio vya taa na vifaa vingine havitakua na sehem imara ya kushikiliwa kwenye ukuta duni. Hata vikikaa kwa muda, vitachomoka tu na kusababisha majanga.
Bora wangeambiwa zipigwe lipu imara ya udongo ndani na ziwekewe mbao au miti imara juu kutengeneza dari la kuweka nyaya vizuri kwa usalama.
Sio lazima nyumba ziwe za block, hata za udongo imara zinaaeza wekewa umeme.
Kwa hiyo ni kiki
Hakuna tatizo mkuu umeme wa REA tunafunga hadi kwenye mashimo wewe tuelekeze tu shimo lako lilipo tunafika hii ndio serikali ya wanyonge umeme sio anasa tena,matajiri wataishi kama mashetani wanyonge wanafutwa machozi na kupunguziwa ukali wa maisha.
Kila mtu ana haki ya kupata umeme bila ubaguzi sioni shida yoyote hapo
Bukoba
Kwa hiyo ni kiki
Sent from my SM-G570F using Tapatalk