Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
Kama huna kifaa kinachotumia umene wa njia tatu, then huna haja ya umeme wa njia tatu katika nyumba ya kawaida.
Three phase ni umeme wa 'viwandani'.
Three phase ni umeme wa 'viwandani'.
Hapo nimekupata Mkuu kwahiyo hapa 2 or 3 phase inategemea na matumizi yake tu.Ghorofa ni mfano au assumption tu, nyumba inaweza kuwa ndogo na ikawa na appliances nyingi hivyo ikahitaji umeme wa three phase
Huenda, ila ghorofa au jengo lolote linalotumia vifaa vinavyohitaji kiwango kikubwa cha umeme kufanya kazi no dhahiri umeme unaohitajika ni wa three phaseMkuu mbona kama maelezo yako yana walakini, kwa hiyo gorofa linahitaji 3 phase?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu ila nikrekebishe tu kuwa umeme wa matumizi ya kawaida una single phase na three phase mkuu, hakuna three phase. Unaweza kuitambua three phase kwa kuwa inatumia nyaya tatu zinazopitisha umeme na neutral wire mmoja hivyo huonekana nyaya nne au tatu peke yake.Hapo nimekupata Mkuu kwahiyo hapa 2 or 3 phase inategemea na matumizi yake tu.
Ndio mkuu ila nikrekebishe tu kuwa umeme wa matumizi ya kawaida una single phase na three phase mkuu, hakuna three phase. Unaweza kuitambua three phase kwa kuwa inatumia nyaya tatu zinazopitisha umeme na neutral wire mmoja hivyo huonekana nyaya nne au tatu peke yake.Hapo nimekupata Mkuu kwahiyo hapa 2 or 3 phase inategemea na matumizi yake tu.
Kwanini single phase ina 220v wakati 3phase ina 380v uwa inanichanganya hii mkuuMtoa mada, huwa ipo hivi.
Kuna kitu kinaitwa Current ambapo unit yake ni Ampere. Na kuna kitu kinaitwa Power ambapo unit yake ni watts.
Sasa, Kwa hapa Tanzania kama load yako( kwa kiswahili kisicho rasmi sana ni kama tuseme uwezo wa vifaa vyako vyote vya kutumia umeme) haitazidi Ampere 60, (13,200 watts)wewe utabakia kuwa ni mteja wa single phase. Lea lugha nyi
Ikiwa load yako itazidi Amperes 60 Basi hapo moja kwa moja utakuwa ni mteja wa three phase. Kwa lugha nyingine ni idadi ya watts katika vifaa vyako vyote kama itazidi watts 13,200 wewe utakuwa ni mteja wa three phase.
Sasa hizo watts unazipataje? Katika kila kifaa cha umeme kina ratings zake. Lea mfano kwenye bulb utakuwa imeandikwa labda 9 W maana yake ni watts 9.
Sasa chukulia labda una pasi, feni, radio, TV, friji, birika la umeme, n.k kila kimoja hapo utajumlisha ili upate total load yako ujue ni kiasi gani.
Kwa summary tu, kama idadi ya watts kwa vifaa vyako vyote haitazidi watts 13,200 wewe utabakia kuwa ni mteja wa single phase.
Idadi ya watts kwa vifaa vyako vyote ikizidi watts 13200 wewe ni mteja wa three phase.
Nawasilisha.
Yaani ukiweka Air Condition Mbili kwenye nyumba uwe na three phase; Tuache basi kupotoshanaUkiwa na AC kuanzia mbili nashauri weka 3 phase
Hapo hujalitendea haki swali bado.labda nikuulize swali rahisi...ukiwa na single phase inamaana haiwezi kuwasha ac...au washing machine?Endapo utafunga single phase kwenye mashine inayohitaji three phase basi mashine hiyo haitaweza kuwaka au kufanya kazi. Au kama utafunga kwenye nyumba ambayo inahitaji three phase baadhi ya vifaa havitaweza kufanya kazi, kwa mfano nyumba za ghorofa na baadhi ya nyumba zinahitaji umeme wa three phase kutokana na kuwa na vifaa nilivyovitaja hapo awali.
Inaweza kuwasha ila kuna kiwango kikizidi inabidi uweke three phaseHapo hujalitendea haki swali bado.labda nikuulize swali rahisi...ukiwa na single phase inamaana haiwezi kuwasha ac...au washing machine?
Toka zamani tumekuwa tukiona umeme wa majumbani ukifungwa single phase na viwandani ukifungwa wa three phase. Lakini siku hizi hata majumbani watu wanafunga umeme wa three phase tofauti na zamani.
Naomba kufahamu tofauti ya matumizi ya huu nyumbani, na umeme wa three phase unaongeza nini katika nyumba ambacho single phase haina?!
umeme wa three phase unaongeza nini