Wataalam naombeni msaada kuhusu hii gari ktk haya

ni kweli

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
236
288
TOYOTA ALFHARD.
cc 2990. 1MZ
Kikubwa nahitaji kufahamu + & - ya hizi gari upande wa engine 1MZ. Vile vile upande wa matumizi ya mafuta, kabla sijafanya maamuzi. Lengo ni biashara ya utalii kwa znz. Karibuni kwa ushauri.
 
Asante kiongozi. Je kwa hiyo engine uliyo ishauri ni kilometer ngapi per litter?
 
Back
Top Bottom