Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapa huwa nashangaa sana. Teknolojia inaendelea wewe unamrudisha mtu miaka zaidi ya 15. Kama unajiweza nunua gari ambayo ni ya hivi karibuniMkuu asikudanganye mtu kuwa eti Subaru inakula mafuta huyo ni muongo Tu,juzi jumapili tumeenda Tegeta mivumoni na Subaru ya rafiki Yangu tokea Chamazi tuliweka mafuta ya 30000/= tulienda na kurudi vizur.
Mara nyingi natoka Chamazi Hadi mivumoni na CARINA TI huwa naweka mafuta ya 30000 kama ilivyo Subaru Tu,hata Mimi mwenyewe nashawishika Sana kununua hii gari kuliko crown athlete (gari ambayo nilikuwa na malengo ya kuinunua) nimeendesha Subaru Kwa umbali mfupi lakini nimeona MBIO zake aisee ni hatar.
Kuhusu durability usiulize Kwenye Subaru ni gari ya uhakika hasa matoleo ya kuanzia 2002 - 2007 pia nakushauri tafuta matoleo haya ya zamani najua utakuja kushukuru hapa jukwaani
Sasa ndugu unashangaa nini?Yaani hapa huwa nashangaa sana. Teknolojia inaendelea wewe unamrudisha mtu miaka zaidi ya 15. Kama unajiweza nunua gari ambayo ni ya hivi karibuni
Mwambie tupo dunia ya 3 kwaiyo magar tunayotumia, huko dunia ya 1 n 2 yamepitwa muda kama wa miaka 7 na zaidi ,na kata ya watu 10 ni mmoja ndio anaweza nunua gar latest kwenye karatasi, mengine yote niyamiaka kuanzia 2002sSasa ndugu unashangaa nini?
Haya Magari unayoyaona barabaran 90% ni ya mwaka 2000 - 2010 Sisi huku Africa bado tupo nyuma Sana kiuchumi pia kumbuka haya Magari ni used huko Japan sio mapya
Mwambie tupo dunia ya 3 kwaiyo magar tunayotumia, huko dunia ya 1 n 2 yamepitwa muda kama wa miaka 7 na zaidi ,na kata ya watu 10 ni mmoja ndio anaweza nunua gar latest kwenye karatasi, mengine yote niyamiaka kuanzia 2002s
Siku nyingine uje na kamba ya kuvutiaMsaada , kuanzia ulaji wake wa mafuta, durability na speaView attachment 1155093