Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,923
Najitahidi kula na ninashiba but baada ya mda mchache kama lisaa tu njaa inaniuma vibaya nimeenda hospitali nikapewa dawa za minyoo na nikashauriwa niwe natumia kila baada ya miezi miwili but still nakua na njaa na sipati nafuu nakula tofauti na wanadamu wengine.