Wataalam ebu mtujuze je, serikali inaweza kutumia Sh 98 bilioni bila idhini ya bunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam ebu mtujuze je, serikali inaweza kutumia Sh 98 bilioni bila idhini ya bunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 26, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wandugu,
  Wengi wenu mmesikia kauli ya 'mtoto wa mkulima' kuhusu dowans. Siju kama nimemweleza vizuri, ni kama amesema suala la dowans kamwe halitarudi bungeni. Kwamba litaachwa lifuate mkondo wa sheria na mbaya zaidi inaonekana kama yupo tayari hela ilipwe. Ninachojiuliza, in case serikali imeamua kulipa kiasi hicho cha fedha, je, italipa dowans moja kwa moja au itabidi iitishe kikao cha bunge ipate idhini ya kutumia kiasi hicho fedha ambacho hakikuwepo kwenye bajeti?

  Karibuni wataalam wa masuala haya mtujuze.
   
Loading...