Wataaalam wa code, nahitaji mawazo yenu kutengeneza programu

Elishachupa

Member
Apr 26, 2021
15
5
Naomba mawazo nataka nitengeneze program ambayo itumike kuzuia watu wanaorudia research. Yaani research ikiingizwa ilete watu ambao wamefanya hiyo research.

Ina maana research zote zilizofanywa zitatunzwa ahlafu kama mtu akirudia basi program igundue
 
Tutaanza na ile research ya magu tuangalie kama mfumo wako uko accurate.
 
Naomba mawazo nataka nitengeneze program ambayo itumike kuzuia watu wanaorudia research. Yaani research ikiingizwa ilete watu ambao wamefanya hiyo research.

Ina maana research zote zilizofanywa zitatunzwa ahlafu kama mtu akirudia basi program igundue

Unahitaji tuu Database yenye interface ya ku search by project title
 
Yaani tusimudhuie kuludia title hata kama akiludia title ila asikopi kila kitu kilichoandikwa na mtu aliyekeisha fanya hyo reserch
 
Naomba mawazo nataka nitengeneze program ambayo itumike kuzuia watu wanaorudia research. Yaani research ikiingizwa ilete watu ambao wamefanya hiyo research.

Ina maana research zote zilizofanywa zitatunzwa ahlafu kama mtu akirudia basi program igundue
Mbona zipo interface zinazo check plagiarism. inaonyesha hadi asilimia ya Plagiarism. ,kila kitu kipo net, check em out,unaweza ona mapunguf ukayalekebisha
 
Back
Top Bottom