Wat so special with TRA?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Wajameni,nilibahatka kufanya fild kwenye ofic moja ya tra huku mkoan,nimegundua mishahara ya hawa jamaa mbona ni ya kawaida sana kulinganisha na maendeleo walonayo..nin cha zaidi wanachokifanyaga hawa wa2 hadi wanapata pesa za chapuchapu?
 
yaani hujui, acha utani ndugu!

kwanza ni rushwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
pili posho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tatu Gawio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nne overtime!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
endeleza zingine
 
Hapo kwenye blue ndo haswaaaaaaaaaa wanapopatia pesa.
 
Mwisho wa yote ni rushwa inayowatoa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kwa hiyo angalia sana m2 wangu ucwe kama ZAKAYO.
 
yaani hujui, acha utani ndugu!

kwanza ni rushwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
pili posho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tatu Gawio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nne overtime!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
endeleza zingine

mkuu tra hawana overtime wala posho.na siyo wote wenye maendeleo inategemeana na kitengo ulichopo.asilimia kubwa wanakula rushwa na dhuruma.mia
 
mkuu tra hawana overtime wala posho.na siyo wote wenye maendeleo inategemeana na kitengo ulichopo.asilimia kubwa wanakula rushwa na dhuruma.mia
Kuna ofisi ya Umma ambayo haina overtime au posho? Inaelekea wewe hujawahi fanya kazi za Umma au hujui maana ya overtime au maana ya posho
 
Hawa jamaa mm ninachojua wanabebwa saana na Mikopo ya AZANIA BANK,muajiri wao amewa guarantee kukopa kwa kiwango cha juu sana pale Bank, na wengi kwa hiyo mikopo wanajenga fasta au wana nunua magari mazuri au wana fanya business zinazowaongezea viapato.
Ww ulikwenda fanya field au kuchunguza salary za watu?Ndio ninyi mnaofanya field kupatikana ni tabu mana hamfanyi mlicho fata na kufuatilia mambo ya watu.
 
Kuna ofisi ya Umma ambayo haina overtime au posho? Inaelekea wewe hujawahi fanya kazi za Umma au hujui maana ya overtime au maana ya posho

usiongee usiyoyajua.tra hawana overtime.kama hutaki kaa na kutokujua kwako.tofautisha tra na tcra.masaburi yako.
 
For real rushwa ni kubwa tra ila mikopo pia inawatoa sana, na kuhusu overtime tra hawana wana posho kubwa kila unapokuwa nje ya kituo cha kazi.
 
mmmmh!Wewe umuliza kujaribu watu au ni nini?Maana reasonable person hawezi kuuliza swali kama hili.Inaonyesha huwezi kujiongoza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom