Waswisi wakataa ujenzi wa minara ya misikiti

Wao wanataka minara iamshe nchi nzima! Kwani kule Rwanda kwa Kagame mbona ni marufuku kupiga kelele kama hizi na kuko shwari tu?Hakuna cha kengele za kanisani wala vipaaza sauti.
kagame haiwezi kusustain hiyo order...kama ambyo uswis hawawezi kusastain huo ushindi..lazima watu wajenge according to their belief ..iwe leo au kesho...
 
dini yako inakuruhusu kukaa ndani,

mimi yangu ni lazima ufanye jamaa(kusali pamoja na wenzako) ...highly recommended...kusali na wenzako...walio karibu..na unatakiwa uite watu kwenye sala highly recommeded...so dini zina value tofauti elewa kwanza hilo..


Highly recommended siyo? Ina maana pale inapowezekana.Kama haiwezekani si ni basi?
 
Highky recommended siyo? Ina maana pale inapowezekana.Kama haiwezekani si ni basi?
Usinifundishe kukata tamaa mama...kama unataka kitu you go for highly recommended one ..siyo unaenda for the least...hiyo siyo teaching ya dini yangu..
 
Tanzania Sh*nzi kabisa. Mie nina tatizo la kutolala mapema. Sasa nikilala saa 7 usiku nikitegemea kuamka saa 1 asubuhi, naamsshwa na salaaaa ya saa 10:30 alfajiri. Matokeo yake siku nzima nasinzia kazini. Ilibidi nihamie karibu na kanisa maana walau wao wanakorombeza kengele lao saa 12 asubuhi.

Hivi kwa nini nisipumzike kwangu? Sasa inaishia tu kuanza kusumbuana na mama Nyanso maana hatuna cha kufanya hiyo asubihi tukiamshwa. Ilibidi tufunge uzazi maana vitoto vingelifuatana kama mchwa na kuvilisha ingelibidi kuanzisha NGO.

Hakuna UHUNI na UJANGIRI wa kidini kama ule unafanyika pale Magomeni kati ya msikiti na kanisa la Warutheli. Wachaga na Wapare Mungu bariki wako swafi kipesa. Wakaanza mashindano na Waislaam. Waislaam wakaweka maspika yao kama kawaida na walipoombwa wapunguze sauti wakajibu "you can kiss our ..........." Wachaga/Wapare wakaona haina shida, wakaagiza jamaa zao hiyo mispika hadi mtu unafikiri ni ile zama pale Dodoma wakati akitesa Kagunila Radio Service. Waislaam kuona wamezidiwa kibao, wakalia kwa Waarabu wao, Waarabu nao wakashisha mzigo umeshehena. Sasa ukiwauliza makelele yote hayo mwamhubiria nani? Wanakujibu "Aliyeko barabarani". Ila sema hiyo STEREO unayopata kama upo barabarani siku ya jumapili, inatia kinyaa.

Inabidi hata Tanzania ije sheria ya kupunguza makelele wakati wa usiku hadi saa 12 asubuhi. Waislaam wote wanaotaka kuamshwa, si wakubaliane na mitandao ya simu kama TIGO, Voda, etc na ikibidi waanzishe mtandao wao wa simu na members wote wapigiwe simu wakati wa asubuhi ili waende kusali. Bakwata watapata hela ya simu, Waislaam wataamshana bila kuwasumbua wala kiti moto kwa Safari/Kilimanjaro na at the end of the day, all of us will be happy.

Ahhh, mwisho inabidi ianze sheria ya kupima kiasi cha makelele. DB zikizidi basi unalipa faini kwa kuleta usumbufu iwe mchana au usiku. Usiku kuanzia saa 5 hizi dB zinazidi kupungua.

MKUU Sikonge Ukitaka usipigiwe Makelele ya Spika ya Msikiti au kengele za Makanisa nenda kaishi Porini na wanyama na hata hao wanyama wanapiga makelele kwa mfano kelele za Simba utaziweza? Waache waislam na kelele zao za kuaamsha watu Asubuhi kwenda kumuabudu Mwenyeezi Mungu na waache Wakristo wapige makelele ya makengele asubuhi kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe wewe kaa unataka kupumzika utapumzika kaburini sio duniani, duniani ni uwanja wa fujo kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe waache waislam wafanye watakavyo, na Wakristo waache wafanye watakavyo wewe hujaona kelele za walokole?mimi nipo na walokole majirani zangu kila ikifika saa saba usiku huwa ndio wanaanza kupiga makelele yao kwa kuimba kwa sauti kubwa ili wapate kusikiwa na Mungu mimi hata siku moja sijawazuia kupiga makelele yao hapa kwetu Tanzania tuna uhuru wa kuabudu Dini uitakayo asante huu ni ujumbe wangu wa leo.
 
Tumain wanakuchokoza hawa, eh?
Wanaingilia anga ambazo hakuna compromise...mambo ya dini ya watu wengine waachie wenyewe...kama hana dini afadhali angenyamaza..minara watafungua tu..na ni lazima tujenge kama si leo ni kesho..waswis hawawezi kunyima uhuru wa watu kuabudu..kama wana chuki zao na uislamu..wavumilie tu sasa ndio maan tuna tofautiana binadamu..ala.
 
Wasaud kama wanafanya hivyo wabanwe kisawasa...waache watu waabudu wapendavyo...
misikiti ni totality sio onaondoa sehemu ya msikiti (minarets)..
wakiendekezwa wataleta another innovation..hata kufikia sasa kusali mara mbili inatosha..gosh waache watu na dini zetu..wao kama hawana habari na Muumba...wakeshe kwenye pombe who care?

Mbona miskiti iliyo mingi huko bongo haina minarets? Ina maana haifai kwa ibada?
 
Takwimu nenda ofisi ya waislamu hapo uswis...attend ijumaa kama uko karibu na masjid utaona vijana wa ki-swiss waenda wapi?

I have been to Switzeland, those are Bosnian and Turkish immigrants!
 
I thought you were smarter than this. Necessity is

a)The condition or quality of being necessary.

b)Something necessary: The necessities of life include food, clothing, and shelter.

If something is necessary it means you have to do it. If you moved to another place because of necessity it means you thought of that place to be necessary to get what you want. Necessary in swahili is 'Kulazimu". Ime kulazimu kufanya kitu. If you could get your necessity elsewhere why did you go there? Mkuu English as a 2nd language is hard huh?[/QUOTE]
Asante..it was not vocabulary for me anyway ha ha ha

Kwa hiyo nikiwa uswis..kwasababu nafanya kazi ya serikali tukufu ya Tanzania is that necessity or shida? kwahiyo I have all right to be here and I have to have equal right to associate and practice my religion as if niko magomeni. kwasababu I am not illegal immigrant, I am here for not necessity of both countries.
Well, inakuwa vipi kwa wale mabolizi wakristo wanaowakilisha nchi zao Saudia, kwa nini hawana right ya kuwa na makanisa?
 
Well, inakuwa vipi kwa wale mabolizi wakristo wanaowakilisha nchi zao Saudia, kwa nini hawana right ya kuwa na makanisa?


Huyo achana naye ....
watu wamekaa Riyadh 8 years bila kuonja kitu inaitwa kanisa, bila kuvaa mtu alivyozoea, ilibidi watu kujifunza kuvaa hijab masaa yote ispokuwa unapokuwa home na hawajaleta ubishi wa kipuuzi kama huu unaoletwa hapa jamvini.Ukitaka kukaa Rome basi kaa wakaavyo au watakavyo -vinginevyo ondoka nenda kwingineko.Ukienda kwa chongo, vunja lako jicho.Hao waislam wa Uswiss majority ni wale waliohamia baada ya vita zile za Bosnia.Sasa huyu ndugu anataka hawa ndio wa dictacte terms za kuishi huko- makubwa! Kwanini wasihamie Saudia ambako kuna mazingira mazuri sana kwa matakwa yao?Hawajakatazwa kuwa na misikiti bali kuweka minaret! Hii nayo imekuwa nongwa!
 
I have been to Switzeland, those are Bosnian and Turkish immigrants!

Unafikiri anafahamu tofauti huyo?

Yeye hata Mwalimu Nyerere alikuwa akifiri ni Mzungu. Wahindi na Waarabu anaita Wazungu. Si ajabu hata Gypsians na watu wa Georgia nao anaita Wazungu.

Wale Bosnia, wanawake wao wana-UNYWELE hadi unafunika macho na mtu bado anasema Wazungu Waislaam. Nilishakumbana na kibinti cha Sarayevo, duuu kwa unywele, ningelijua ningelikibeba nimtumie Tumaini ili AKIJUWE. Huyu hata Graca Marchel alimwita "Mke wa Mandela Mzungu".
 
Back
Top Bottom