Wasukuma

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Naomba mnisaidie maana za maneno haya:
1. Wamsha kinehe
2. Duhu
3. Sanzi

Ikibidi mniongezee mengine kwani nataka kuoa kwenu.
 
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe
 
Naomba mnisaidie maana za maneno haya:
1. Wamsha kinehe
2. Duhu
3. Sanzi

Ikibidi mniongezee mengine kwani nataka kuoa kwenu.[/QUOTE

Kuuliza siyo ujinga, kwanini unataka kuoa Usukumani, na kwanini ujifunze kwa namna hii.
 
[QUOTE=Pearl;
duhu=hapana

goko=shemeji

Kisukumani si kama mnavyokichukulia. Namna unavyotamka maneno ndo utakavyomaanisha. Mfano neno 'duhu' linaweza kua na maana nyingi ikitegemeana na litakavyotamkwa. Linaweza kumaanisha uchi/utupu,sawa,tu, n.k. Kwa hapana inakua ndoho na si duhu. Kwa shemeji ni nkwelha na si goko. Goko kimatamshi inamaanisha babu.
 
Naomba mnisaidie maana za maneno haya:
1. Wamsha kinehe
2. Duhu
3. Sanzi

Ikibidi mniongezee mengine kwani nataka kuoa kwenu.[/QUOTE

Kuuliza siyo ujinga, kwanini unataka kuoa Usukumani, na kwanini ujifunze kwa namna hii.

Hujakosej kuuliza,nataka kuoa usukumani kwa kuwa mchumba wangu ni msukuma.
Nimeuliza kwa namna hii kwani nimekuwa nikisikia shemeji zangu wakiyataja sana.
 
Hujakosej kuuliza,nataka kuoa usukumani kwa kuwa mchumba wangu ni msukuma.
Nimeuliza kwa namna hii kwani nimekuwa nikisikia shemeji zangu wakiyataja sana.
Naomba kuuliza tena, mchumba wako anatokea sehemu ipi- maana kabila hili lipo katika mikoa kadhaa na matumizi ya lugha yanaweza kutofautia kidogo, inawaezeka kisukuma cha shemeji zako kikawa ni tofauti na cha mchumba wako,na ukaishia kudhaniwa vinginevyo .
 
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe

Dont mislead him!
Ntamsaidia japo nimemind kuniolea dada yangu! Siwapendi mashemeji mm!
Kinehe-vipi?
Duhu-uchi
Sanji(sio sanzi) ni heshima inayotumika kuitana wazazi wa pande zote mbili
nkwela wane/nkwelayo)-shemeji yako.
Mayu bhuko-mama mkwe
bhabha bhuko-baba mkwe
n.k
mengine ntakufundisha baadae ila utatoa ng'ombe wangapi make kufundishwa kisukuma kabla hujaoa utatozwa na we normally include it in the brideprice upo hapo?
 
Mmh!! Kumbe Pearl msukuma au umekiotea hiki??!!
Duhu=Uchi
Nduhu=Hapana

mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe
 
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe
nkoi, shemeji= nkwera, guku = babu
mama mkwe= mayu bhuko
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom