WASUKUMA WAPAMBANA: Mpendazoe & Mashishanga Vs. Mahanga jimboni Segerea!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WASUKUMA WAPAMBANA: Mpendazoe & Mashishanga Vs. Mahanga jimboni Segerea!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Sep 21, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wakati ccm ikiuguza machungu ya sintofahamu ya matokeo ya kura za maoni ndani yake (iringa, dodoma,nk) kwenye kinyang'anyiro cha kampeni uchaguzi 2010 hasa kwa ngazi ya ubunge na udiwani, hali inaonekana kuwa tofauti kwa upande wa chadema kwani mshindi wa kura za maoni kwa jimbo la Segerea ambaye hata hivyo hakupitishwa na chama hicho kugombea (Rachel Mashishanga) ubunge na badala yake akapitishwa aliyeshika nafasi ya pili (Fred Mpendazoe); ameamua kusahau sintofahamu hiyo na kumuunga mkono mpendazoe.
  [​IMG]
  mashishanga ambaye pia ni mwenyekiti wa chadema jimboni humo ameamua kumuunga mkono mpendazoe kwa 100%
  [​IMG]
  katika ufunguzi wa kampeni hivi karibuni, mashishanga akamnadi mpendazoe hivi:

  "Ikiwa mahanga, aliyekuwa mbunge wenu kwa miaka kumi hakuwahi kukutana nanyi kujadili vipaumbele vya maendeleo jimboni, nani anafahamu zilikoishia[?], tumewaletea mpambanaji mpendazoe, amueni kumpa fursa ya kuwakomboa."


  source: Mwananchi 16 Septemba, 2010.

  nota bene: hilo la 'wasukuma' ni title tu; ipuuze!!!


  15 novemba 2010
  hatimaye makongoro mahanga ameshinda ridhaa ya wananchi wa jimbo la segerea na kuapishwa hivi karibuni.
  hata hivyo tunaambiwa mpendazoe tayari ameshakata rufaa mahakamani. lets just wait and see!
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unafiki tuu!
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mahanga si msukuma bali Mkulya nadhani
   
 4. minda

  minda JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  :confused2:
   
 5. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  minda, nadhani ungebadili heading ingekuwa vizuri zaidi iliyopo naona imekaa kiukabila kabila. Yaani heading inatofautiana na nondo ulizoshusha ktk thread yako,pia thread umeibua changamoto nzuri kwa kujadili mfano:- uamuzi wa MASHISHANGA Kumsupport MPENDANZOE wakati upande wa pili Tingatinga, Dk chegeni na Shellukindo wamekula kona ktk kusupport wagombea na chama chao cha CCM. Hayo ni maoni yangu tu
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Indeed!!!
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,115
  Trophy Points: 280
  Hongera wasukuma,,,,,,,,,,,,,wasukuma kwanza vyama baadaye!
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  heading inapromoti ukabila
  content ipo poa
   
 9. minda

  minda JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  nota bene: hilo la 'wasukuma' ni title tu; ipuuze!!! Asante kwa ushauri.
   
 10. minda

  minda JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  nota bene: hilo la 'wasukuma' ni title tu; ipuuze!!! Asante kwa weledi wako.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu Mpendazoe akifanikiwa akachukua kiti cha ubunge jimbo hilo mbona akiingia mjengoni CCM watamkoma
   
Loading...