Wasukuma na Jadi ya Kuimba

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Hivi wadau kuna ukweli kwamba Wakina Ngosha hata kama awe Mheshimiwa sana kama Mzee wa vijisenti, akisha kamata kinywaji kikamkolea kiasi chake, lazima aombe kuimba mistari kadhaa; na la mkimkatalia basi ataenda zake ****** na kumalizia kiu yake ya kuchana mistari huko?.
 
Ni kweli, ila sio kwa sababu amekamata kilaji, bali Wasukuma ni moja ya makabila yenye jadi ya ushirikiano na kujichanganya kwenye shida na raha. Kwenye misiba ya Kisukuma ni pombe na kuimba. Kwenye sherehe ndio usiseme. Kwa kifupi ni watu wa kupenda kushirikiana na kufurahi pamoja.

Kwa mli Msukuma afurahi, lazima ajichanganye na watu, nina jamaa mmoja jirani yangu ana penda sana mpira. Ana dish tatu home kwake na amefungua kijimini bar chake. Hupenda sana kufanya viparty party ili mradi afurahi na rafiki zake.
Pamoja na hiyo mini bar yake iliyosheheni vinywaji vya kila aina, na dish zake zote 3, wakati wa mechi muhimu, hujikusanya na kina sisi kubanana kwenye kijibaa cha pembeni kwake, kichovu
Hadi kinyaji chake hakuna, bado atachukua kinywaji chake na kuja nacho bar yetu ili mradi ajichanganye.

Akishalewa, ataongea kwa sauti kubwa, atatukana sana, atataka kutongoza kila mwanamke, atatoa pochi kuonyesha anatembea na dola, atapiga piga alarm ya benzi lake, ataweka simu tatu za bei mbaya mezani. Atapiga simu na kuongea kwa nguvu, "haloo, vipi hapo Londondon, mara Tokyo, mara New York, mara atamsikia ngoja nimcheki mshikaji JK ili mradi ni majidai tuu

Ataimba kwa kelele sana na kulazimisha wote lazima mkisikie Kisukuma. Tatizo la Wasukuma wana ubishoo fulani wa kuonyesha onyesha pesa, na kuwa watu wa matumizi sanaa na kuhonga fungu nene. Wanaroho nzuri sana na kutoa ofers kibao. Weingine wao fika home kwao.

Tatizo la Wasukuma, hawajali sana maendelea, bado wanaushamba fulani hivyo kama hataoa makabila ya maendeleo,ndio basi, hela zitaishia kwenye pombe na wanawake!.

Kitu kizuri ni down to earth sio kama akina ...
 
......., atataka kutongoza kila mwanamke, atatoa pochi kuonyesha anatembea na dola, atapiga piga alarm ya benzi lake, ataweka simu tatu za bei mbaya mezani. Atapiga simu na kuongea kwa nguvu, "haloo, vipi hapo Londondon, mara Tokyo, mara New York, mara atamsikia ngoja nimcheki mshikaji JK ili mradi ni majidai tuu

...

Kwa kutungoza pia sawa, ila hayo mambo ya dola na simu za London mie naona kama umewakonfuzi na Ishomire (wahaya)
 
Back
Top Bottom