Wastani wakiwango cha mahari kwa maisha ya sasa

kasyabone tall

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
254
59
SAMAHANI WANAJF NINGEPENDA KUELIMISHWA KIDOGO JUU YA KIWANGO CHA MAHARI INACHOPASWA MTU KULIPISHWA KWA MAISHA YA SASA.

Maana kuna mambo mengi ambayo yanachanganya sana. Ukijipeleka unataka kuoa Mahari inatajwa bei ya gari, ukijilia kimya kimya cost ni nafuu kuliko kuoa. Sasa tutaishi hivi mpaka lini?

Wazee hawaelewi mabadiliko ya maisha, wanataka tulipe mamilioni. Ningependa kujua bila kujali makabila, kwa maisha ya sasa ya mjin, mahari ina thamani gani? Kama umeoa hivi karibuni umelipa mahari kiasi cha Tsh ngapi? Hii itatusaidia sana sisi vijana ambao bado hatujaoa tujue kama kunakuoa au la.
 
Hilo ni janga la taifa kwa vijana...Binafsi nampango wa kupiga mimba then navuta ndani....
 
Kwanza elewa kuwa mahari si jambo baya. Ni symbol ya responsibility kwenye jamii yetu. Tatizo linakuja pale upande wa wanawake unapofahamu vyengine kuhusu hayo mahari.

Kiwango cha mahari hutegemea vigezo mbali mbali hivyo si rahisi mtu kukisia.
 
SAMAHANI WANAJF NINGEPENDA KUELIMISHWA KIDOGO JUU YA KIWANGO CHA MAHARI INACHOPASWA MTU KULIPISHWA KWA MAISHA YA SASA. Maana kuna mambo mengi ambayo yanachanganya sana. Ukijipeleka unataka kuoa Mahari inatajwa bei ya gari, ukijilia kimya kimya cost ni nafuu kuliko kuoa. Sasa tutaishi hivi mpaka lini? wazee hawaelewi mabadiliko ya maisha, wanataka tulipe mamilioni. Ningependa kujua bila kujali makabila, kwa maisha ya sasa ya mjin, mahari inathamani gani? Kama umeoa hivi karibuni umelipa mahari kiasi cha Tsh ngapi? Hii itatusaidia sana sisi vijana ambao bado hatujaoa tujue kama kunakuoa au la.

Wazazi wengi siku hizi ni waelewa sana, mahari kwa walio wengi siku hizi ni wastani wa Tsh 1,000,000. Bianfsi sioni haja ya mahari siku hizi ila itachukua muda itapota tu. Tunachotakiwa tu kuwapa aksante wazazi wa keke hiyo 1,ooo,ooo kwa vile ni utamaduni wetu ili taratibu nyingine zifanyike.

Gharama kubwa ambazo unahitaji kujiandaa ni maandalizi mengine ambayo licha ya kuchangiwa na ndugu na marafiki lakiki hutakwepa kuchomolewa kwenye maandalizi ya ndoa na mengineyo ambayo hugharimu mamilioni.
 
Kuna makabila mengine lazima ujiandae kutoa dume la ng'ombe na kiasi fulani cha hela...
 
Kuna jamaa alizua ugomvi mkubwa aliposema anauwezo wa kulipa millioni 1 tu. eti mahari ni ndogo sana kwa kigezo cha eti kila kitu siku hizi kimepanda bei.

Haaa, hiyo nayo kali! Wakikuzingua create demand kwa kumpa mimba halafu uwe mbishi kukubali. Watakulazimisha tu! Hapo kiulaiini, unamuweka ndani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom