#COVID19 Wastani wa watu 38,400 kupata chanjo katika kila Mkoa

Process zote nafanya,ila ya kutoboa tu nairuka.
Hili suala la chanjo halijaja kwa bahati mbaya Kuna motives behind na waliolileta hayo yote wanayajua na walishajiweka tayari na hayo yote ndio maana unaona wanaingiza taarifa zako kwenye database.
Hakuna chanjo watu taarifa zao zinaingizwa kwenye database ambayo itatumika dunia nzima, Ila hii ya corona wanafanya hivyo. Hapo jiulize maswali zaidi kuna nini?
Hivyo sahau suala la kusema utahonga upewe cheti ili usichome. Walioleta hizi agenda za chanjo wako mbele ya muda
 
Kwani wanaotuchanja si hawa hawa manesi ambao ni dada zetu, wake zetu au girlfriends zetu?
...au watakuja kutuchanja wazungu wenyewe?

Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom