Kweli ushirikiano unajua mtu anakaa hampi mwenzie ushirikiano mtu ndio maana anakaa sana .Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .
Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .
Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.
Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.
Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
Ivi ukifunga bao dk ya 1 na mwanamke akafika kilele na wewe unaye piga bao dk 10 na mwanamke bado mkavu
Yupi bora.
Kweli ushirikiano unajua mtu anakaa hampi mwenzie ushirikiano mtu ndio maana anakaa sana .
Ila kama mnapeana ushirikiano basi pendaneni kwanza.
Halafu baadae fanyeni tendo halafu muone.
Sio unafanya kwa hela au kwa kitu walahi uoenjoy utapigwa miti hadi utambae.
Nimeshasema mbona au hujanielewaUnajua mapenzi sio kupigana miti.. mapenzi na mahusiano nyegezi hadi roho inazuhuzika..
Mwanamke anatakiwa afike kileleni hata kabla ya mechi
Tabu anasema kweli mwanamke anze kusikia utamu hata karibia ya kila kitu.Sio sheria* kumfikisha kilele mwanamke kabla ya tendo ni kuto kujiamini kama utamfikisha kileleni wakati wa mechi
Umenikumbusha hadithi ya sizitaki mbichi hizi, fanya zoez tatizo la ulegevu liishe. Tutaendelea kukugongea
Siyo kwel hata nusu saa nampekenyuaHadithi..
Sio mapenzi hayo kaka.. ni sawa na kunywa lita 20 za maji kwa saa eti kukataa kitu.
Mwanamke anatakiwa afike kileleni hata kabla ya mechi
Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.
Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.
Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..
Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30
Hana mapungufu ila bado ni tineja sana, a grown man should spend at least 10 to 15 minutes not a fit manDakika 1.5 utakuwa na mapungufu.
A fit man should spend atleast 10minutes
Goli la tatu vepe?? Dk ngap?Uko sahihi. Mimi goli la kwanza hata dk 2 hazifiki ila goli la pili dk 30 hadi 45. Hapo mwanamke lazima aimbe ngonjera zote hadi drip atawekewa