Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,900
- 95,400
Sina upungufu kwanza ugali wangu ni huu hapa mwanaume wa kijijini!
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .
Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .
Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.
Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.
Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
Dakika 1.5 utakuwa na mapungufu.
A fit man should spend atleast 10minutes
Sina upungufu kwanza ugali wangu ni huu hapa mwanaume wa kijijini! View attachment 1098224
Mwanamke wa kawaida (ambaye hajakomazwa na dushe nyingi) within 5 mns kama hakuwa forced kusex anakuwa alishafika kileleni...kwahio kama bao la kwanza sio chini ya dk 3 uko vizuri mkuu.... jitahidi tu kupunguza hizo dk saba uwe unaamsha dude fasta
sasa kama gwajiboy aliweza kupiga bao ngapi pale na mtu katulia tu bila ushirikianoNapiga mabao yangu kisha nabaki kupiga pasi za maudhi na kuchelewesha muda.
IT BEGINS WITH PSYCHOLOGY.Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .
Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .
Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.
Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.
Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
Wengi wangejua hili unalo liongea hapa wasinge taabika na michepuko kwa kizingizio cha wenza wao kukosa eti nguvu za kiume.Nakubaliana na wewe. Kuna akina dada/mama wanafika mwisho katika dakika 2-3. Kuna wengine wametembea weeeee, na wanaume mbalimbali, leo wana miaka 40 hawajui kilele kinafananaje. Tendo la ndoa limeumbwa kwa ajili ya uzazi. Madhumuni yake ni kutoa mbegu kwenda kwa mwanamke, siyo la kufurahishana. Kibaolojia, mwanaume yule anayetoa haraka ndiye mshindi.
Rafiki mchumba wako ni mwanaume wa Dar?Wanaume mikoani ni waongo
Nikujitesa tuu.. unadhani kushiba ndio jawabu..Sina upungufu kwanza ugali wangu ni huu hapa mwanaume wa kijijini! View attachment 1098224
Nataka nikuulize..Mwanamke wa kawaida (ambaye hajakomazwa na dushe nyingi) within 5 mns kama hakuwa forced kusex anakuwa alishafika kileleni...kwahio kama bao la kwanza sio chini ya dk 3 uko vizuri mkuu.... jitahidi tu kupunguza hizo dk saba uwe unaamsha dude fasta
Kweli mfano unajua leo jioni utaliamsha.. anza kumwandaa toka asubuhi , akifika jioni atakua amesha loa kama paka kadumbukia kwenye kisima.Hapo ndipo tatizo hutokea, yaani mtu analala kama mnajimu halafu anategemea mabao ya miujiza!!!
Hata na nyagi inachelewesha piaWatu wana uoga wa kushindwa kuperform ndio maana wanatunga story za bao la kwanza dk 30 kitu ambacho kwa normal physiology ya mwanaume ni impossible...labda awe kaboost na vumbi la congo...