Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .

Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .

Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.

Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.

Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
 
Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.

Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.

Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..

Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30
 
Upo sahihi na kuna uongo mwingi sana juu ya hili
 
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .

Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .

Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.

Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.

Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
tupe uzoefu wako wewe unaonaje wapo sawa au?
 
Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.

Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.

Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..

Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30
Dk 1?????????...Si bora ulitoe kwa nyeto sasa..
 
Back
Top Bottom