Wastaafu wawili na Waziri mmoja mstaafu wafanya vikao

Hivi vikao vinatishia usalama wa pacemaker. Hatujajua agenda ya vikao hivi ni nini lakini inabashiria mambo ya muhimu kuhusu mwaka mpya.
Watakuwa wanambembeleza huyo waziri aanzekuimba mapambio ya kusifu na kuabudu, ili kujihakikishia ulinzi wa ugali wao.
 
Hivi vikao vinatishia usalama wa pacemaker. Hatujajua agenda ya vikao hivi ni nini lakini inabashiria mambo ya muhimu kuhusu mwaka mpya.
Pacemaker
Hahaha.mtamuua yule Mbaba mjue

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Kamati ya ufundi nipo
Hivi vikao vinatishia usalama wa pacemaker. Hatujajua agenda ya vikao hivi ni nini lakini inabashiria mambo ya muhimu kuhusu mwaka mpya.
downloadfile-21.jpeg

Jr
 
Back
Top Bottom