Wassira: Uchaguzi auwezi kurudiwa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wassira: Uchaguzi auwezi kurudiwa Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Jan 13, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwenye taarifa ya habari ya saa 2 radio one serikali imetoa tamko kuhusu uchaguzi wa umeya arusha amesema uchaguzi auwezi kurudiwa kwa sababu ulifanyika kiualali kauli yake hiyo imejaa hasira na chuki na vitisho ndani yake kwa upande wangu nimewapuuza
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haya, atakumbana na nguvu ya umma
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,525
  Trophy Points: 280
  Watake,wasitake,uchaguzi wa meya Arusha utarudiwa tu.
   
 4. k

  kiche JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  naona mechi inataka kuingia kipindi cha pili!wasiwasi wangu ni hizi mbegu za chuki zinazopandwa na hawa watu,je zikikomaa na kuzaa matunda watakuwa tayari kupokea matokeo?kule tarime askari wakiwa watemi mchana usiku wanashambuliwa kwenye baa,je wanamakambi ya kuweka hao askari wao?

  ni bora waelewe kuwa watu hawatakubali kugeuzwa mabango ya shabaha na wajiulize ni nchi gani hapa duniani imewai kupata amani kwa mtutu wa bunduki!hivi hawa watu uwa wanafikiri kweli au wanatamka tu ili waonekane?au ni kulewa madaraka?

  sisi wengine hatuna vyama tunaomba amani lakini kwa udhaifu unaojionyesha inabidi kumwomba mungu sana,mungu ibariki tanzania.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani wasira amezeeka. Ebu mwangalieni hata kichwa chake. Kimepunyuka nywele mpaka anatia huruma. Nahisi hata akili zimepunyuka. Isingekuwa ni urafiki na jk, angekuwa anaendelea na biashara yake ya sangara. Tumpuuze! Hivi benz lake lililokuwa linatoa moshi barabara nzima siku hizi lipo wapi. Walio karibu nae watujuze tafadhali.
   
 6. s

  shemu Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Kwakweli mzee wasira amenishangaza sana kwasababu alicho ksema wikiiliyopita mwanza ninini na leo ameongea kitu gani!? au "PROCESSOR" ya kichwa chake imekufa?
   
 7. M

  Mkono JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu mpuuzi kabisa anataka kumponza mwenzake,make nina imani huyo meya wao hawezi kuishi Dar kama wana vyo fanya wao,ipo siku huyo meya wao atakuta shamba limekatwa migomba akiendelea nyumba ataikuta majivu akahamie Lumumba kwenye nyumba za CCM
   
 8. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  wASIRA; amekuaje tena jamani au kalazimishwa na anatoa tamko kama nani?
   
 9. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK akiona maji ya shingo anatuma wa chini yake, aliupenda urais basi apende na madhara yake pia..haiwezekani ishu ya kuonana na viongozi wa dini ikawa ya wassira wakati ni mtu mdogo tu katika Tanzania hii.hiyo pia ni dharau ya JK kwa maaskofu.lakini tunafurahia kuwa mlango wa mageuzi uko wazi, kuboronga kwa ccm ndo faida yetu wana mageuzi.
   
 10. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Anaitwa Wa-hasira Tyson. Amesema sawasawa na jina lake. Si ndo huyu aliyewahi kumtandika ngumi mwandishi wa habari. Serikali ya JK haina watu wa busara ... wote ni type ya "Meli Kitanda". Kwa hili hata fisadi EL amewashinda busara. Watabana, mwisho wataachia tu
   
 11. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kadinal Pengo: "kutumia siraha kutafuta amani na kulazimisha ushindi ni kitendo ambacho kinaweza kuleta maafa makubwa katika taifa" maneno haya yalitolewa na kadinal katika misa iliyo kituo cha hija hapa pugu.
   
 12. k

  kiche JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  na hicho ndicho nachoona kitafuata arusha,huyo meya wanamdanganya na yeye anakuwa kichwa ngumu yakimkuta sijui familia yake itamlilia nani,ni bora ccm ielewe kuwa kamwe kwa uchaguzi ule wa kiuni haitatawalika hata kidogo,aelewe kuwa hawezi kulindwa muda wote na polisi na hata hao polisi watu wakiamua wanamchukua mikononi mwao,ni mara ngapi polisi wanakimbia mapambano?mimi angekuwa ndugu yangu ningemshauri kujiuzuru kama ni kushinda atashinda tu.

  ni bora aelewe kuwa watu wanamtumia tu kama kamari,ila wanajua chochote chaweza kutokea.
   
 13. N

  Ndondocha Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Intelejensia ya ****** hii,igp sijui kama shule imepanda.damu iliomwagika lazima ilipwe,what goes around comes around.ccm hawajai ona nguvu ya wananchi,sisi tupo zaidi ya milioni 35,
  Wao wapo wangapi,pamabafu kabisa.wanasubiri kupewa order na wao bila kufikia wanafanya,sijui wakiambiwa watoe **** kwa raia
  Sijui watatoa.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ccm kila mtu ni msemaji..chitanda,makamba, lowasa, sitta,mwakyembe, wasira,
  Ngereja nk
   
 15. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahh mnahofu na mwanga wa ccm wasira, mtu kama huyo akiongea anapotezea.
   
 16. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakubwa..... Achaneni na huyo kilaza!!! Anafanana na mjiga anayekata tawi alilolikalia. For what is going on now.... nobody can stop it!!!!!
   
 17. M

  Mnyagundu Senior Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya umma mnawatoa kafara watoto wa watu! Afe mbowe au Slaa au watoto wao ndio tutajua theory ya nguvu ya umma!
   
 18. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  inaonekana watawala wengine either wamevua common sense or wana uncommon sense, atleast for sometimes!
   
 19. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Leo waziri wasira katika mkutano wake arusha,aligusia swala la chatanda kwamba ni mbuge halali wa arusha,eti kwa kuwa ccm ina utaratibu wake wa dani wa kuamua wapi impangie mbunge wake,
  kwa mara nyingine tena waziri huy anajaribu kuudanganya umma,ni wazi kuwa uwakilishi wa wabunge viti maalum ccm,ni wa kimkoa,kiwilaya,na kimakundi katika jamii hii ni kwa mujibu wa katiba ya ccm,hivyo ni wazi na ukweli kuwa chatanda alishinda ubunge kupitia halmashauri ya tanga,na alipata kura 491,
   
 20. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kuna kitu gani arusha wanachojaribu kuficha?
  Mhh! Sio bure kuna madudu ya CCM hapo!
   
Loading...