Sio vibaya tukipata muda tukamwona na kumsikiliza Bwana Stephen Wassira baadae leo saa 3 usiku TBC1. Jamaa ni mjenga hoja mzuri wakati mwingine hata kwa kulazimisha tu. Anaongelea miaka 51 ya uhuru wetu.
Wassira hana jipya zaidi ya kulazimisha mambo ndiyo maana akaitwa Tyson. Sijawahi kuona wala kusikia Wassira kajenga hoja zaidi ya kujilisha pepo na kuota mchana juu ya utukufu wa baba na mama yake CCM.