Wassira on our 51yrs of Independence

WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,506
2,409
Sio vibaya tukipata muda tukamwona na kumsikiliza Bwana Stephen Wassira baadae leo saa 3 usiku TBC1. Jamaa ni mjenga hoja mzuri wakati mwingine hata kwa kulazimisha tu. Anaongelea miaka 51 ya uhuru wetu.
 
Wassira hana jipya zaidi ya kulazimisha mambo ndiyo maana akaitwa Tyson. Sijawahi kuona wala kusikia Wassira kajenga hoja zaidi ya kujilisha pepo na kuota mchana juu ya utukufu wa baba na mama yake CCM.
Sio vibaya tukipata muda tukamwona na kumsikiliza Bwana Stephen Wassira baadae leo saa 3 usiku TBC1. Jamaa ni mjenga hoja mzuri wakati mwingine hata kwa kulazimisha tu. Anaongelea miaka 51 ya uhuru wetu.
 
mara zote, mzee huyu ni mjenga hoja na mjibu hoja, hata kama hayupo upande wako, anapohit point mkubalie kwa manufaa ya uelewa wako na taifa lako. pamoja na chama chako. usipokubaliana naye njoo jukwaani kwa ajili ya kumkosoa kwa faida ya uelewa wake, taifa lake na chama chake.
 
Hana jipya huyo maaana tulishachoka na pumba zake si unakumbuka alivoongea kwenye kile kipindi cha dak 45 pale ITV ni uzushi mtupu, labda TBC wabadilishe wamweke Dr wa ukweli aje kuzungumzia miaka 51 ya uhuru na sio huyo mzee ambae hata jimboni kwake Bunda hakubaliki, sasa kama jimboni hakubaliki takakubalika taifani kweli kama sio kiinimacho ni nini hapo
 
WanaCCM huko Bunda wanamtaka arudi haraka sana kusafisha hali ya hewa maana kimbunga cha mabadiliko(M4C) kinapita kwa kasi kubwa sana jimboni kwake.

Yaani hata kwa maajabu hawezi tena kuzuia jimbo la Bunda lisiende CHADEMA.
 
Wassira hana jipya zaidi ya kulazimisha mambo ndiyo maana akaitwa Tyson. Sijawahi kuona wala kusikia Wassira kajenga hoja zaidi ya kujilisha pepo na kuota mchana juu ya utukufu wa baba na mama yake CCM.

Hapo kwenye red; jamaa kabadili jinsia na jana "toilet paper" letu pendwa Jambo Leo limeripoti nguli huyo alifurahia kuona hedhi kwa mara ya kwanza na jina lake la sasa baada ya lile la kiislamu alilolipata aliposilimu ni Michele.
 
Naomba utumie kichwa na vilivyomo kufikiri badala ya kutumia mak*****. Hivi yale matusi aliyokuwa anayamwaga kule kwenye kampeni za uchaguzi mdogo kwa Nassari ndizo hoja unazotuambia? Au umesahau kuwa leo ni Alhamisi bora kuangalia hata FUTUHI kwani huwa wana ujumbe mkubwa sana katika maigizo yao.
 
Akaweke maji hospitali ya DDH Bunda na awalipie Luku,anajenga hoja wakati wana Bunda wanahaha hospitali chafu vile ni aibu mbunge wao anagombana na CDM anasahau wajibu wake!miezi 6 hospitali haina dawa kabisa,vile vyoo ,hakuna huduma ya maji akachimbe kisima na kuwarudishia mita za zamani za Tanesco anajenga hoja wakati jiombo linamshinda?yule dada Bulaya wapi akachimbe kisima usikie matusi atakayoporomosha!utadhani ana hati miliki ya Bunda
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom