Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 689
- 504
Ni maajabu yanaendelea kujitokeza Tanzania, Yule bingwa wa kuuchapa usingizi ktk majukumu yake na waziri wa zamani wa Jakaya aliyebwagwa kwa kishindo na mdada machachari Ester Bulaya jimbo la Bunda Kumbe nae alikata rufaa kupinga ushindi wa Ester ktk mahakama kuu Mwanza..!!
Tundu Lissu the Don the king of law Kama kawaida alikuwepo Kama wakili wa Bulaya.
Sometimes CCM oneni aibu, mzee kaamua kujificha nyuma na kuwatuma wasaka tonge watangulie..
Amazing sana!!!
Source: ITV habari