Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"
My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.