Wassira: Mbowe ana nini mpaka serikali imtafute?

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.
 
Umehitimu shule ya kata nini?
 
Wassira anahangaika kama pasco wa CCM!!!!
 
Kibanda ni nani? By Wassira
Mbowe ana nini By Wassira

Haya bana.
 
Huyu hamy-d namchukia kishenzi. Kwa siku anaanzisha thread zaid ya 6 halaf zote za kipuuz hazna ushahd tena matuc ya ajabu. Yan mods cjui kwa nin wanamuacha. Jaman msiwe mnakoment thread zake, tukfungua thread yke mkikuta ni yeye hakuna kukoment. Mngese sana yani. Cjui hana kazi za kufanya na cjui kaz za maendeleo anazfanya saa ngap coz kutwa anashnda mtandaon anaazisha thread kama 7 kwa siku tena za uchochezi na matusi kwa Dr Slaa na Mbowe. Cjui hana kaz nyngne?
 
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba WASIRA ana maana kwamba huwa ale wote wenye kitu flani ambacho kinaisumbua serikali au watendaji wa serikali huwa wanaadhibiwa kwa njia za kimafia
 
Huyu hamy-d namchukia kishenzi. Kwa siku anaanzisha thread zaid ya 6 halaf zote za kipuuz hazna ushahd tena matuc ya ajabu. Yan mods cjui kwa nin wanamuacha. Jaman msiwe mnakoment thread zake, tukfungua thread yke mkikuta ni yeye hakuna kukoment. Mngese sana yani. Cjui hana kazi za kufanya na cjui kaz za maendeleo anazfanya saa ngap coz kutwa anashnda mtandaon anaazisha thread kama 7 kwa siku tena za uchochezi na matusi kwa Dr Slaa na Mbowe. Cjui hana kaz nyngne?

Mimi juzi nimeandika hapa topic kuwa akuna sababu za kuchangia upuuzi wao
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

'comment on red' Acha kutumika wakati ndugu zako wanakufa, ole wao wanafiki maana kwayo watahukumiwa.
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

huyu mzee ni kilaza sana kipindi cha nyumba alosema serikali haiwezi kumteka Kibanda kwa sababu hana madhara kwa serikali akatolea mfano labda angekuwa dr Slaa au Mbowe
leo tena ameanza kuruka ruka
 
Huyu hamy-d namchukia kishenzi. Kwa siku anaanzisha thread zaid ya 6 halaf zote za kipuuz hazna ushahd tena matuc ya ajabu. Yan mods cjui kwa nin wanamuacha. Jaman msiwe mnakoment thread zake, tukfungua thread yke mkikuta ni yeye hakuna kukoment. Mngese sana yani. Cjui hana kazi za kufanya na cjui kaz za maendeleo anazfanya saa ngap coz kutwa anashnda mtandaon anaazisha thread kama 7 kwa siku tena za uchochezi na matusi kwa Dr Slaa na Mbowe. Cjui hana kaz nyngne?
Huyu ni moja waajiriwa wa Lumumba project.JF ni ofisi yake,usihangaike naye, ni mtu wa mshahara.Tuachane naye.
 
Wasirra ni nani basi?anafanana na jamaa mmoja kule moshi town wakati tunafutafuta ujinga aliitwa kiroboto-better kiroboto maana kiroboto alikuwa mteja wa wadi ya psychiatry hapo mawenzi general hosptality?/hospitalini
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom