Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 637
- 1,901
Moja kati ya makosa makubwa Tanzania ni kuzaliwa familia maskini, Familia maskini hudumaza ufikirishi, Lakini waliozaliwa familia za ufikirishi na kitajiri huwezi kukuta zikipiga magoti kulamba soski za waheshimiwa
Nani asiyejua kuwa mtu mwenye mawazo ya kimaskini hawezi kufanya maendeleo anaishia kujawa chuki na dharau
Wasomi wengi wa Tanzania ni lile Kundi lililoambiwa soma ili upate kazi usukume maisha, Ni msomi gani aliambiwa asome ili alete mawazo mapya kwenye Taifa? Hakuna msomi hata mmoja kwenye hili Taifa mwenye mawazo ya uvumbuzi na ugunduzi zaidi wamekaa kucopy na kupaste kazi za watu
Siasa zimewafanya hawa wasomi waliozaliwa vijijini kujitoa akili na ufahamu wa kawaida yaani common sense wamekaa kuropoka ropoka bila hekima na busara, Nani asiyejua sifa za hawa wanasiasa hama hama
Sifa kubwa ya wasomi wa Tanzania ni mtu kujitambulisha amezaliwa familia maskini sana, Nani asiyejua kabla hawajaulizwa utasikia nilikuwa nachunga mbuzi Mara kondoo, ooh ooh wazazi wangu wameuza vitumbua kunisomesha shule, wamejawa na uwoga na inferiority za kutosha
Wasomi hawa siasa imewafanya wasahau gharama za kufanya uchaguzi, wanaliingiza Taifa hasara wakisahau tambwe zao kuwa wao wamesomeshwa kwa kuuza magimbi na vitumbua, This is shameless
Hizi degree za Tanzania zimegeuka katuni na vituko, Chuo cha zamani Udsm kumbe nacho kilikuwa cha Kata na bado ni chuo cha Kata, Hakuna uvumbuzi wala ugunduzi miaka zaidi ya 40,Wasomi wake ni wale wale wanaojiita maskini kuanzia fikra mpaka familia, Nani asiyejua hawa wanaoropoka na kushindwa kufanya kazi wamesoma Udsm? Tusicheke tena vyuo vya Kata
Siasa ni sayansi kwa wenye fikra za kitajiri na waliozaliwa familia tajiri kwa Afrika, Sishangai yule aliyesema Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na takataka gani sijui na huyo alikuwa msomi na mwalimu na kiongozi mwenye mamlaka, Siasa ilimfanya asahau anafanya nini kwenye presentation
Taifa ni ngumu kuendelea Kama wasomi hata kibatari hawawezi kutengeneza, Nini maana ya kuanzisha college za engineering huku wasomi wakijitoa ufahamu na kubaki na fikra za kutembeza vitumbua,, Siasa zimegeuka ukichaa
Naunga mkono kauli ya Pascal humu kuwa kila mtu kichaa, lakini ukichaa wa hawa wasomi wa Tanzania wanaofanya siasa unahatarisha akili za Taifa lijalo, Imefika Sehemu watoto wetu wanataka nao kuhamia ulaya kuunga mkono maendeleo na teknolojia Kama wazazi wao wanavyounga mkono hama hama