Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 726
Mkuu naomba nkusahihishe tena nakusahihisha kweli kisomo sio maarifa na maarifa sio kisomo ila maarifa ni zaidi ya kisomo so wasomi watanzania ni wasomi ila hawana maarifa na wwnye maarifa hawachukuliwi maanani kwa sababu ya wasomi wakitanzania kukosa maarifa wasomi watz wangekuwa na maarifa tungekuwa mbali nakupa mfano mdogo tuu wachina wwngi sio wasomi ila wanamaarifa fanya research hiyo kwa kuanzia tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app